Wanachama wa ANC watoa heshima kwa mwili wa Mandela Try this 03:14 Add Comment Wanachama wa Chama cha African National Congress (ANC) wametoa heshima za mwisho kwenye mwili wa Hayati Nelson Mandela kabla ya kuzikwa hapo kesho.